Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mbali ya kucheza filamu ya Hukumu na Masogange enzi ya uhai wake,Galis pia alishawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na marehemu uliodumu kwa mwaka mmoja (2016-2017).
Masogange aliyefariki Machi 20 mwaka huu akiwa anapatiwa matibabu hospitali ya mama Ngoma, anatarajiwa kuzikwa leo Jumatatu, Aprili 23 kijijini kwao Utengule, Mbalizi jijini Mbeya.