carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kumbe lako lina haribika ndio maana unasema nina wivu.
Yerewwwi!Kama nakuona vile. Endelea kuotaView attachment 532751
Mkuu upepo ni muda mrefu haujaonekana huku, hiyo picha ni kwa sababu nimejiunga na kabila la kule baada ya kumpata nsamakaBoss hiyo avatar yako unamtafuta maneno mkulu??
Pesa dstv wamekata chanel zao zamaaan.TEMBISAAAA... Hivi kwanini hu update Isidingo tena
Rudi hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24]Haiwezekani...Pengine ni mrefu kwa maandunje wenzake sawa na mtu mwenye chongo miongoni mwa vipofu !!!
Hapo ndio unajua wapenzi huwa wanaelewanaNadhani alitaka kumaanisha kuwa mimi ni na mama yake, sema naona muunganiko wa maneno
Pumzika salama carbamazepine kipenziUsiku mwema wapendwa
Nimerudi kuaga[emoji23] [emoji23] endelea tu kumlinda babe S kwakweliRudi hapa
Tembisa au ni NumbisaTembisa hujajibu nilicho uliza
Huwa sikubal mutuYerewwwi!
Chaga ya mbavu kwa kichwa kichafu.
Nitumie njia gani ambayo huwa unakubali kiurahisi nipe siri. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haeleweki, kayapata mababa ya kwaonsamaka is watching....[emoji55] [emoji55] [emoji55] [emoji55] [emoji55]
Hahah sasa ya leo nimeikosa nifanyejePesa dstv wamekata chanel zao zamaaan.
Waharibifu wanamrubuninsamaka is watching....[emoji55] [emoji55] [emoji55] [emoji55] [emoji55]
Lala tu ukumbatie ngumiUsiku mwema wapendwa
Upoo!!??Babe S wangu niambie