sembuli2006
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 377
- 2,138
Mwendo kasiKwa huu mwendo post 10000+ per day
Duh! Mpaka tukatoboe awamu hii! Tutanyooka tu.Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA ) imewapa muda wa wiki mbili wamiliki wa mitandao ya kijamii ya 'blogs', tovuti na aina nyingine ya vyombo vya habari vya habari vinavyochapisha kwenye mtandao kujisajili nchini Tanzania.
Hatua hii imekuja ili kudhibiti maudhui mitandaoni ikiwa ni matakwa ya sheria mpya ambayo ilionekana kuwa na mkanganyo.
Akii si vizuri kama unafurahia bratheeMnanimaliza kweli na hii lafudhi yenu.....
Mkuu..nchi hii ina vijana wazuri,wasomi na wenye mtizamo chanya..wangetutao hapa na kutuvusha kuwa nchi ya uchumi wa kati(ki uhalisia) lakini kama zilivyo nchi zililizo chini ya jangwa la sahara na juu ya jangwa la kalahari..tuliowapandisha juu ya ' mti' wanatusahau, wanakula matunda na kutupa kokwa chini..Self inflicted wounds. Unajifanya kuchukiwa kwa mambo ya kijinga tu. Haya ndo mambo niliyokuwa naongea na Jirani. Mtu anaendesha nchi kama familia yake. Na falsafa, mitazamo na amali alizokuzwa nazo ndizo wote mnalazimishwa mkubaliane nazo. Tunakoelekea siyo kuzuri !!!
Mkuu..nchi hii ina vijana wazuri,wasomi na wenye mtizamo chanya..wangetutao hapa na kutuvusha kuwa nchi ya uchumi wa kati(ki uhalisia) lakini kama zilivyo nchi zililizo chini ya jangwa la sahara na juu ya jangwa la kalahari..tuliowapandisha juu ya ' mti' wanatusahau, wanakula matunda na kutupa kokwa chini..
Leo mitandao!!!!! Duh! Hata wahindi waliotawaliwa na mkoloni kama sisi wametupita kama roketi..
He!!! Nimetoka nje ya mada samahani.
Mkuu hakuna kitu cha maana kwa US kama kuheshimu sheria 'mama'Wamarekani nao wanahangaika na huyo jamaa yao. Sema tu wenyewe kinachowaokoa ni kuwa na taasisi zenye nguvu jamaa anakwama !!!
Sijui ntacho fanya manake hata sasa sina jibu iwapo utauliza, nachojua Magufuli anatia hasira, havumiliki!! Aisee we must make a move before its too late.Wamarekani nao wanahangaika na huyo jamaa yao. Sema tu wenyewe kinachowaokoa ni kuwa na taasisi zenye nguvu jamaa anakwama !!!
FadedAlan Walker
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shiro jamani. Wimbo safiii !!!
Nimeanza kuogopa jirani....Mkuu..nchi hii ina vijana wazuri,wasomi na wenye mtizamo chanya..wangetutao hapa na kutuvusha kuwa nchi ya uchumi wa kati(ki uhalisia) lakini kama zilivyo nchi zililizo chini ya jangwa la sahara na juu ya jangwa la kalahari..tuliowapandisha juu ya ' mti' wanatusahau, wanakula matunda na kutupa kokwa chini..
Leo mitandao!!!!! Duh! Hata wahindi waliotawaliwa na mkoloni kama sisi wametupita kama roketi..
He!!! Nimetoka nje ya mada samahani.
Naupenda huu wimboFaded
Therefore something is wrong with youNothing's wrong with this world.
Something wrong with HUMANS