Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kama malaria bado ipo jiandae kufukuzwa kwenda kulala...8.USIJISEMESHE KUWA HUWEZI KUACHA:
Unapokuwa unaangalia hizi picha mara nyingi akili yako inajizoesha,
na kuona ni utaratibu
wake wa kila siku.
Kwa hiyo moyoni utakuwa unajisemesha kuwa kuacha kitendo hiki
hautaweza kamwe,
kitu ambacho kitakufanya uwe dhaifu wa kujitawala