Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kama malaria bado ipo jiandae kufukuzwa kwenda kulala...8.USIJISEMESHE KUWA HUWEZI KUACHA:
Unapokuwa unaangalia hizi picha mara nyingi akili yako inajizoesha,
na kuona ni utaratibu
wake wa kila siku.
Kwa hiyo moyoni utakuwa unajisemesha kuwa kuacha kitendo hiki
hautaweza kamwe,
kitu ambacho kitakufanya uwe dhaifu wa kujitawala
Kama kesho unakwenda kazini hata wewe jiandae kufukuzwa. Ila kama unakapeleka kanafunzi kako tour unaweza kubakia kidogo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama kesho unakwenda kazini hata wewe jiandae kufukuzwa. Ila kama unakapeleka kanafunzi kako tour unaweza kubakia kidogo...
Hadi mnaran atafika tu ila kasiwe kazembe ka kutembea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], afadhari...mpeleke akaone na sehemu inayotukumbusha ajali ya KEMONDO.
Tatizo mguu ndani mguu nje. HUELEW3KI
Kanashindaga gym nadhani kako fiti na siksi paki juu. Kalishasema humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi mnaran atafika tu ila kasiwe kazembe ka kutembea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
//JF itauzwa rasmi kwa mmiliki nje ya nchi ambaye hawezi kulazimishwa kuzitii hizi sheria za kidikteta dhidi ya JamiiForums
Maxence Melo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiii in shimbaz voice akifukuzwa na kitooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama malaria bado ipo jiandae kufukuzwa kwenda kulala...
Hahaaaa bro,,Shiro na Bro Kasmart nao wakianza mambo yao mpaka raha yaani...
Kuna wengine wana six pack ila panya tu akikatiza mbele yake unashtukia jamaa umembeba bila kupenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kanashindaga gym nadhani kako fiti na siksi paki juu. Kalishasema humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa NumbisaWaiii nikamkumbuka bro na ledada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
roo brooHahaaaa bro,,
Nikutakie usiku mwema!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa Numbisa
Usiku mwema aisee!
Finally chachawa kwishneyyyyyyy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]