Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
AmenBigbaba, SHIMBA YA BUYENZE, ho chi minh, uniq, kichwa Kichafu, moudguff, Numbisa, Cole Williams,cocochanel,babe S, nsamaka, jakitoo, carba-ma-zepine,ukhuty,Aleyn,gbefa,sawee255,mark msue, na wengine wooooteee ahsante kwa siku ya leo. Mungu awe nasi
Yani huyu mtoto ipo siki tutamcharaza vibokoHahahaha ho chi minh ndio muhusika
Nilikuwa najaribu kama anatoa au hatoiNa wewe libaba likubwa hebu mwache nsamaka ni mke wa mtuuu, mwacheee... Mtaniua jamani mwacheniiii
HahahahaaaNipo mkuu!! Mambo tu yamebana si unajua tena??
Naona wanafanana kichwa kweli kweli!!
Hhh[emoji23] [emoji23]
Maana anawinda mazizi ya watuYani huyu mtoto ipo siki tutamcharaza viboko
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji122]Nilikuwa najaribu kama anatoa au hatoi
Amen. Tupo pamoja mkuuNa mimi nawashukuru sana kwa kunipa safari ya kicheko. Sikuangalia kabisa bongo movie.
Nimefika Shy salama kabisa.
Usiku mwema, Mungu awatunze
Mungu mkubwa, jana ilinisaidia sana, hata sikuchoka maana ilikuwa ni kucheka tuNa mimi nawashukuru sana kwa kunipa safari ya kicheko. Sikuangalia kabisa bongo movie.
Nimefika Shy salama kabisa.
Usiku mwema, Mungu awatunze
Bhujn
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ukhuty humu hata ukipandisha maruhani utapewa tu LIKES[emoji849]
AMUN RABigbaba, SHIMBA YA BUYENZE, ho chi minh, uniq, kichwa Kichafu, moudguff, Numbisa, Cole Williams,cocochanel,babe S, nsamaka, jakitoo, carba-ma-zepine,ukhuty,Aleyn,gbefa,sawee255,mark msue, na wengine wooooteee ahsante kwa siku ya leo. Mungu awe nasi
AMUN RA