God iz bae
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 527
- 1,086
Ngoja niharakishe[emoji125]Nakusubiri kwa hamu kubwa niseme yaliyomo
Ngoja niharakishe[emoji125]Nakusubiri kwa hamu kubwa niseme yaliyomo
Asante mkuu. Hebu na ikawe hivyo!Bigbaba, SHIMBA YA BUYENZE, ho chi minh, uniq, kichwa Kichafu, moudguff, Numbisa, Cole Williams,cocochanel,babe S, nsamaka, jakitoo, carba-ma-zepine,ukhuty,Aleyn,gbefa,sawee255,mark msue, na wengine wooooteee ahsante kwa siku ya leo. Mungu awe nasi
Duuh umetuacha mdau!! Btw kula like!Keep cxp
Xgcgjzgjzyix[emoji15]Audhubillah huyu atakua Ruhani wakutoka ISRAEL
Kashaanza kuongea kwa PASWORD[emoji15]
Mpelekeni Bagamoyo huyu
Mimi ni[emoji1550][emoji1550]kwaherini[emoji1550]
Utafanya vyema maana milango ya pm nimeng'oa kabisa ili ukifika upitilize.Ngoja niharakishe[emoji125]
Mi ni mpenzi msikilizaji nasubiri zamu yetu nasiUsiku mwema wapenzi watazamaji
Ntafka sio mda[emoji473]Utafanya vyema maana milango ya pm nimeng'oa kabisa ili ukifika upitilize.
Mbona umekawia lakini
Kwenye app ni tano. Ukitaka kuona zaidi nenda kwenye kompyuta ...Sasa mbona like zenyewe zinaishia tano tu vipi ndio mwisho wa hicho chumba kuingza like tano nini