toroka uje mjini
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,584
- 2,118
Udiffp
Utafulizwa tu kwa chetezo na vitunguu saum[emoji17] hadi kieleweke ka ndojini maimuna au sharif leo kitaeleweka tu mwaya[emoji1324]
Udiffp
Usijali. Ila kama hauwa like wengine wa like tu maisha aendelee. Halafu hako kalugha kako kananivutia sana mwanawane, nitakapataje?
Mkuu hii kazi ya ISIS na mzee wa liverAMUN RA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utafulizwa tu kwa chetezo na vitunguu saum[emoji17] hadi kieleweke ka ndojini maimuna au sharif leo kitaeleweka tu mwaya[emoji1324]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukhuty humu hata ukipandisha maruhani utapewa tu LIKES[emoji849]
Calm down mkuu. Siyo kila mtu anayeongea na mkeo anamtongoza. Kama vipi mwondoe humu basi kama hutaki asemeshwe na mtu [emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe jibapa, wanawake wengine haujawaona? Nsamaka ana nini mpaka umng'ang'anie? Simuachi tafuta wa kwako
Beautiful couple!
Yyz7f8t
Nawe pia pumzika salama