Enzi hizo walitangaza kwa kuongozwa na taaluma zaoMsomaji wako ni mimi David Wakati
Za masiku wa ubani?Mimi night Betty mkwasa
Anaeweza kuniambia hiki ni kiasi gani ntatoa zawadi aiseeee 26042018 zmebaki ngapi tupate ile 2.6T?
Wewe unachokaNaona hamchoki kulike tu
Jambo mkakaJambo dada
Unafikiri hao jamaa wanapenda kuwasulubu binadam wenzao? Kitakachotokea mwaka huu dunia itashangaaa
Hata mimiNaupenda
Maandamano yamemfurusha WengerAnaondoka baada ya jitihada mbalimbali za mashabiki, ikiwa ni pamoja na maandamano, kuweka mabango ya ‘Wenger Out’ na ndege kupita juu ya dimba lao zikiacha ujumbe huo huo.
Hata hivyo, kubwa na la mwisho ni mashabiki, hasa wale wakubwa wanaonunua tiketi za msimu mzima kugoma kwenda uwanjani Emirates na viti vingi kubaki wazi.