Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hiyo ndege ilikuwa ikielekea Mauritius, sasa hali ya hewa imekuwa mbaya ikashindwa kutua. Rubani alijaribu kutua mara tatu lakini akashindwa ndipo akaamua kuja Dar es Salaam kutua kwa dharura,” alisema Mbushi.
Alisema ndege hiyo ilikuwa na abiria 475 na wote wamepangiwa hoteli ili kusubiri taarifa za hali ya hewa ikiwa nzuri waendelee na safari.
“Kesho (leo) kama hali itakuwa nzuri wataondoka,” alisema Mbushi.