Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndege kubwa ya aina yake, Airbus 380, EK701 ya Shirika la Ndege la Emirates iliyokuwa ikielekea Mauritius imetua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, (JNIA) kutokana na hali mbaya ya hewa nchini humo.

Ndege hiyo iliyokuwa na abiria 475, inatajwa kuwa ni ya kwanza yenye ukubwa huo kutua katika uwanja wa ndege wa Tanzania.
Asee uwanja mdogo kama ule itaruka kweli hiyo!!!
 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari amesema ni mara ya kwanza kwa ndege yenye ukubwa huo aina ya ‘Airbus’ kutua katika ardhi ya Tanzania.

Kamanda wa Polisi wa Viwanja vya Ndege Tanzania, Kamishna Msaidizi Matanga Mbushi amesema ndege hiyo ilishindwa kutua mara tatu nchini Mauritius kutokana na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha.
Asee, hongera kwa marubani waliofanikisha kuokoa abiria hao
 
images%20(81).jpeg
 
Back
Top Bottom