Mwenye kambi kaja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sambusa toka pale K Tea Shop, habari yako jiraniWe nae unatutamanisha sambusa sasa! [emoji57][emoji57]
Hi shimbaaaaaa huwa unalala kweli?Mwenye kambi kaja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera zenu, hata hivyo Mwenyezi Mungu ajaalie iwe ni mvua yenye kuimarisha na isiwe yenye kudamirishaMvua inaendelea kwetu. .
Hapa ni kijua na joto lipoBaridi , mvua kubwa.
Kila siku lazima nilale masaa manane. I take usingizi seriously kwa sababu ni muhimu sana kwa afya. Ila kuna siku wasio na huruma huwa wananikatia. Na wafukuzaji siku hizi hamna. Kumekuchaje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hi shimbaaaaaa huwa unalala kweli?
Narudi kuucharaza sasa hivi !!!Hi shimbaaaaaa huwa unalala kweli?
Mko jiji moja lakini hamjuani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Na kwetu pia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pia nafuga mkuuNzuri mkulima wa mjini
Mambo yako moud?Morning mpendwa ledada