Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amesema watu wamekuwa wakihoji iweje niwe na mwanamke ambaye ameshawahi kuwa na mahusiano na wanaume wengine, nawaambia wanamuona hivyo kwa kuwa ni maarufu lakini ukweli ni kwamba kuna watu wa kawaida wameshawahi kuwa na idadi ya wanaume wengi kuliko hata Tunda.
 
445516265_320099.jpg
 
Halafu kila unapoanza mahusiano na mtu ukataka kujua historia ya wanaume aliowahi kuwa nao, yatakushinda. Unachopaswa kuangalia kuanzia hapo mlipokutana na namna ya kwenda mbele kwani hata mimi nilishakuwa nao wengi kabla ya kukutana na Tunda," ameeleza Dickson.
 
Cristiano Ronaldo ametua katika ardhi ya Ujerumani akiwa ameongoza nyota wa Real Madrid kwa mchezo wa leo dhidi ya Bayern Munich.

Real Madrid itakuwa ugenini kumenyana na Bayern Munich katika mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya utakaochezwa kwenye Uwanja wa Allianz Arena.
 
Timu za Ujerumani imekuwa ikiteswa na timu za Hispania katika miaka ya hivi karibuni baada ya kutupwa nje kwenye kwa misimu minne mfululizo.

Bayern Munich iliondolewa na Real Madrid mwaka 2014 na mwaka jana timu hiyo iling’olewa tena katika mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 
Back
Top Bottom