[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23]Sijui lolote mimi mana adi dstv yetu ilipata shambulio
[emoji23][emoji23][emoji39]
[emoji1][emoji1]Nimekugusa rafikiHiiiiii [emoji119]
Chukua like upite hiviHizi likes zingekuwa bingo JF wangeajiri moderators wengi.
Mbongo hapendwi kupitwa, kubeti tu wanakamua msuli kusoma chart sembuse ku-likes!!
Hahah!! Naamini umeshakua fundi wa simu sasaHahaha! Yaani jana imebidi nianze kucheza na setting tu kwenye simu yangu, hadi vitu ambavyo nilikuwa sivijui kuhusu setting nikavijua...Nikawapigia hata watu ambao sikuwa na lengo la kuwapigia[emoji23][emoji23][emoji23], yote hiyo jf haiingiliki..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], We acha tu.Hahah!! Naamini umeshakua fundi wa simu sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], We acha tu.Hahah!! Naamini umeshakua fundi wa simu sasa
Numbisa una nini lakini embu tulia basiHalla madrid[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YuuuhReal Madrid ilichukua udhibiti wa nusu fainali ya kombe la vilabu bingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich katika mechi ya awamu ya kwanza kwa kujipatia ushindi katika uwanja wa Allianz Arena.
Mabingwa hao watetezi wanaojaribu kushinda taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo walionekana kudorora katika safu ya ulinzi huku wakiwa na makali katika ile ya mashambulizi kabla ya Marcelo na Asensio kufunga katika kila kipindi cha mchezo.
Marcelo alifunga karibu na eneo la kupiga penalti na kusawazisha kabla ya Asensio kuongeza bao la pili baada ya Rifinha kufanya masikhara hivyobasi kuwapatia bao la ugenini.
Davet
Hahahahaah kwendraaaSijui lolote mimi mana adi dstv yetu ilipata shambulio
[emoji23][emoji23][emoji39]
Asante best kumbe jf ni kiungo muhimu sana jamaniNilikumiss pia best sanaa