Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Cech hakucheza mechi waliyoshinda mabao 4-1 dhidi ya West Ham na aliumia nyonga kiasi cha kumtioa shaka katika mchezo na Atletico.

Wenger aliwashangaza wachezaji wake baada ya kupanga listi akisema, langoni atasimama Ospina, ambaye amecheza mechi nane tu za michuano hiyo.
 
Uamuzi wa Wenger umewashangaza wachezaji wa Arsenal kumpanga Ospina kwa kuwa hakuwa akicheza kila siku kikosini Arsenal kwa msimu mzima na Wenger anataka kuweka rehani heshima yake Ligi ya Europa.

Mesut Ozil hakuwemo kwenye kikosi cha West Ham tangu Wenger atangaze kuachaa na Arsenal mwisho wa msimu, na atareje kwenye kikosi cha Atletico.
 
STRAIKA wa Timu ya Taifa ya Ureno na Real Madrid, Cristiano Madrid amemtumia demu wake Georgina Rodriguez ujumbe akimtaka kupuuzilia mbali mawazo ya baadhi ya mashabiki wake wanaodai anaichukia Argentina kutokana na uhasama wake na fowadi matata wa taifa hilo, Lionel Messi.
 
Messi ambaye ni nahodha wa Argentina pamoja na Cristiano kwa muda mrefu sasa wameshindanishwa na wadau wa soka kuhusu ni nani kati yao ni mchezaji bora duniani.

Huku ikiwa imesalia miezi miwili kabla ya Kombe la Dunia 2018 kuanza kule Urusi kumezuka tena mdahalo huo kuhusu ni timu gani kati ya Ureno na Argentina itatisha.
 
Kutokana na hilo, baadhi ya mashabiki wanahisi Cristiano haipendi Argentina na asingetamani kuiona ikifika mbali kwenye mashindano hayo kisa Messi.

Lakini kwa kumaliza ubishi huo, Cristiano aliposti video Instagramu akisema ana mapenzi makubwa na Argentina kwa kuwa ndio imempa mke.
 
BR8romjh9eS.jpg
 
Back
Top Bottom