Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hapana sio ujanaEnzi za ujana
Hapana sio ujanaEnzi za ujana
Shedede bana nikakuona insta eti wasema jf watakua wamezima mutambo wanasingizia attack[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wazur habari zenu.
Kabisa, isingekuwa usumbufu leo angekuwa analia liaJama jf umetufanya vibaya hatujapata muda wa maombi yetu mpaka Numbisa anatusumbua sasa
hehehehe ila wewe,Shedede bana nikakuona insta eti wasema jf watakua wamezima mutambo wanasingizia attack[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilipata malaria si malaria,bp si bp yaani hatari tupu[emoji23][emoji23]
Kweli jf ni ulevi
Vibaya mno...Imagine hakuna Shiro na Kasmart? Kimdabuo. Konokono. Mwakaleli. Saksafoni....Ai kanti livu laiki zati....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bratheee ulimiss likes eeh??
Nakusabahi tu mimi
Mimi nilikumbuka ujana wangu nilikuwa naupenda sana. [emoji1]Hapana sio ujana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii post nili qoute post ya DAVET so naomba DAVET respond tu...toka asubuhi mkuu na access hii kitu na haipatikani, dah nikajua ndo basi tena....
BTW habari yako mkuu?
Ukikuta mlango uko wazi nishtue na mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hehehehe ila wewe,
ni kweli NUMBISA maana nilivyokuwa nasumbuka kuacces utadhani kichaa anatafuta makopo mazuri mazuri...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nakuja PM nipokee.
Kasmart [emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344]
mkuu SHIMBA YA BUYENSE,Asante Beef. Nilimiss tumisemo twako