Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mkuu SHIMBA YA BUYENSE,

wote naomba tujipe pole juu ya Dos attack, japo tumekoswa koswa kuwa attacked ila tumepona maybe JF zingebaki logo tu kwenye simu zetu, hatimaye tumerejea, tumekutana kwa mala nyingine.....[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

BTW habari ya kutwaa?
Nzuri mkuu Shedede. Kwema huko?

Naamini JF pengine waliombwa wazime mitambo yao mpaka 2604 ipite na wakatoa ushirikiano. Hakuna cha attacks wala nini. Na si ajabu wamelipwa [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Mkufunzi wa Atletico Madrid Diego Simeone anasema kuwa hana mawasiliano yoyote na Arsenal kuhusu kazi ya ukufunzi ya klabu hiyo kufuatia tangazo la mkufunzi wake Arsene Wenger kwamba anaondoka mwisho wa msimu huu.Mirror)
 
Mshambuliaji wa Wales Gareth Bale huenda akahamia Bayern Munich mwisho wa msimu huu , lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 anasema kuwa lengo lake kuu ni kuisaidia Real Madrid kushinda mataji. (Bild, via Independent)
 
428933168_112563.jpg
 
Back
Top Bottom