Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nzuri mkuu Shedede. Kwema huko?

Naamini JF pengine waliombwa wazime mitambo yao mpaka 2604 ipite na wakatoa ushirikiano. Hakuna cha attacks wala nini. Na si ajabu wamelipwa [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Mkufunzi wa Atletico Madrid Diego Simeone anasema kuwa hana mawasiliano yoyote na Arsenal kuhusu kazi ya ukufunzi ya klabu hiyo kufuatia tangazo la mkufunzi wake Arsene Wenger kwamba anaondoka mwisho wa msimu huu.Mirror)
 
Mshambuliaji wa Wales Gareth Bale huenda akahamia Bayern Munich mwisho wa msimu huu , lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 anasema kuwa lengo lake kuu ni kuisaidia Real Madrid kushinda mataji. (Bild, via Independent)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…