Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] cole tena? [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Vibaya mno...Imagine hakuna Shiro na Kasmart? Kimdabuo. Konokono. Mwakaleli. Saksafoni....Ai kanti livu laiki zati....

Huku kwema kabisa....

Naomba kuona mabango yako ya maandamano. Naangalia tu ujumbe then nakurudishia.
Jf ni ulevi niliamini jana.
Kila nikikumbuka huu uzi nazidi kukosa raha.

Nakutumia mabango[emoji23][emoji23]
 
huku kwema mkuu!

kweli mkuu, sababu haiingii akilini juu ya hiyo wanayoita Dos attack...!
 
Watupe na sisi hiyo faida kama ni kweli,maana watu tumeumwa[emoji23][emoji23]
 
Real Madrid italenga kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski, 29, mwisho wa msimu huu kama suluhu ya muda mfupi huku wakiendelea kusaka saini ya mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane, 24. (Sun)
Leicester inapanga kumsajili beki wa kulia wa Porto Ricardo Pereira, 24. Mchezaji huyo wa Ureno ana kipengee cha £36m kwa yeye kuondoka katika klabu hiyo (Mirror)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…