Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,187
Ni hela za kisaikolojia. Ukifungua macho yako ya kisaikolojia utaziona tu!Hizi like zingekuwa ni helaa
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji39] [emoji39]Kanyaga twende
Tuko salama Jakitoo. Ulilalaje baada ya kuimba nyimbo zile tamu? Nakutakia siku njema!Mmeamkaje wapendwa... GM
Tuheshimiane mkuu. Nakuomba sana [emoji23][emoji23][emoji23]. Kwa Jakitoo tutauana!Asantee.!!hodiii [emoji8] miss jackitoo
oohhh kumbeJitunzeni mabinti wengi humu waongooooo
Umechekewa weweNipo mwenyewe
Kamata hizo. Na wewe tu ukumbuke kugawa ulizonazo!Niko tayari kwa like zenu
Nyiramba Girl kwema? Juzi ulitafutwa sana humu mpaka mtu fulani akasingiziwa kuwa amekuteka.kwema jamani??
teeh tehKutumia tishu kavu kuondoa vya kukwojwowa hapana aiseeee
Unawasilisha nini?Nawasililisha
Bahati nzuri au bahati mbaya?Bahati nzuri like sio pesa