Kwema Pyaar, za kwako?Kwema mkuu?
Ndiyo mkuu.Upako upako tu leo mkuu
Sijasikia kama wametengana, mtt mkali na Diddy anamuelewa sanaHivi jamaa bado anamtumia yule mtoto?
Hahah poa mzee lazima niitafute hiiHahaha tafuta na documentary yake ya The Life of Notorious of B. I. G imetoka mwaka jana but hii sio kama ile ya 2pac ya All Eyez On Me
Hahah! sio siri yule mtoto hapana kabisa [emoji119] bora braza atulie tu pale paleSijasikia kama wametengana, mtt mkali na Diddy anamuelewa sana
Ndoa ni tamu?[emoji23], Aisee!View attachment 757346
Kwani chungu?Ndoa ni tamu?
Ukibahatisha labda [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Time to move on. There are more important things in life now than Misambwanda. Nimewaachia nyinyi maandaeitini (<30). Maisha ni kuachiana ati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahah bro, Dah msambwanda una raha yake sana, poa ntakuwa nakutonya unipe link nikatzame hyo misambwanda
Halafu kwann umetoka madarakani sasa? au sasa hv hauzimii tena ugonjwa huu wa wanaume wengi
Mie mzima kabisa mkuu.[emoji120][emoji120]Kwema Pyaar, za kwako?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] huwa napata uvivu kusoma status za namna ileDuh! [emoji23][emoji23]View attachment 757347
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Shujaa [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Vipi, mapovu yamezidi ama?
Ndiyo mkuu.Upakoooo !!!