Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sijui [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Kwani chungu?
[emoji23][emoji23][emoji23], haya bwana.Sijui [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Hahaha et maandaeitini,, ukweli mtupu life ni kuachiana nasi tym itafika then tutamove on na ishu zingneTime to move on. There are more important things in life now than Misambwanda. Nimewaachia nyinyi maandaeitini (<30). Maisha ni kuachiana ati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nikikuta dotted lines nyingiii, napita tu [emoji16][emoji23][emoji16] [emoji16] [emoji16] huwa napata uvivu kusoma status za namna ile
Hilo jukwaa linatia jazba sana mkuu ukilifatilia sana unaweza pata vidonda vya tumboVipi, mapovu yamezidi ama?
Wakiondoka huko hayo mapovu wasiyahamishie kwingine basi na hata kutuletea huku kwa kisingizio kuwa ni haki yao. Demokrasia is always a two way traffic na haki yao inategemea na kuheshimu haki za wengine pia. Mapovu ziiiii !!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ndiyo maisha hayo bro. Uking'ang'ania sana jamii inaweza isikuelewe japo ni maisha yako (Cf. Le Kokabangaz)Hahaha et maandaeitini,, ukweli mtupu life ni kuachiana nasi tym itafika then tutamove on na ishu zingne
Una kero zake...Mungaano unaolalamikiwa
Mi nikitakaga kutukanwa huwa naendaga huko makusudicale. Matusi watu nje nje...Utaitwa taahira, mpuuzi na hata kutukaniwa wazazi....Mi naliitaga jukwaa la laana !!!Hilo jukwaa linatia fazba sana mkuu ukilifatilia sana unaweza pata vidonda vya tumbo