Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo mkuu. Kuishi na watu ni kusikilizana. Tulishakubaliana kuwa ili kutokuwakwaza wengine basi vitu kama hivi viwekwe usiku wa manane wakati watoto wamelala na visifukuliwe nyakati za mchana [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee hii sheria nilikua siijui kabisa [emoji16][emoji16], mratibu wa hili zoezi kama namuhisi vile ila sio kesi acha tuendelee kusukuma usiku
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…