Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Nikweli mkuu kila mtu afanye yake na maisha yaendelee ila tu ndio hivyo heshima ikae mahali pakeHuo ndiyo uanaume mkuu. Cha muhimu ni maelewano. Maadamu uko huku kwa nia njema basi bila shaka hakuna tatizo kabisa...