Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bila shaka huyu atakuwa ni mkoromije
Cc:wakoromije wote
Nilikuwa nasubiria kauli yako hii. Haki ya nani sasa nimekuelewa vyema. Ningeshangaa sana kama ungeiona hii halafu usiseme hivyo. Nami nasali kila siku upate lijibaba lishamba kabisa kabisa la Kikoromije likuchochee sawasawa likudodeshe ulipende halafu likuwowe kabisa uende ukahangaike na ushamba wa lenyewe laivu kabisa tena deile. Malipo ni hapa hapa duniani dadeki [emoji16][emoji16][emoji16]
 
446329451_80848.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na mimi nalisubiri hilo libaba lishamba la kikoromije nilinyooshe na ushamba wake hadi linyooke,liache ushamba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akii umenichekesha ujue
 
Kicheko cha usiku huu wa manane bila shaka kina uzito zaidi. Ningekuwa hapo karibu bila shaka nisingekosa "kibakhshishi" hata kama ni kaskrinishoti [emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️

[emoji654]️[emoji654]️ Ukilikamia kulinyoosha hilo lishamba hamtadumu. Limeshindikana kunyooshwa na mamake huko we ndiyo utaliweza wakati ushamba wenyewe si ajabu ushakuwa sugu?
 
Back
Top Bottom