Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na kale ka mlio ka kwachaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewee!!

Eti ushamba sugu,hakuna hiyo atanyooka tu[emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo unapoomba omba na kipengele hicho aweze kunyoosheka
Haya. Wewe utakuwa wa kwanza kumkunja samaki aliyekakawana kwa umri na magamba sugu. Hata wahenga waliotunga ile methali ya samaki mkunje angali mbichi itabidi wafufuke ili kuja kushuhudia muujiza wa milenia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Angelala kakumbatia begi la nguo.
Ila huyo na viaru hapana huyo ni wenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Jizazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Eti huyu ni wetu tena kwa kujiamini kabisa. Utalipa haya manyanyaso ya kisaikolojia unayotupondaga nayo Wakoromije siku moja. Maki mai wedisi !!!
 
Haya. Wewe utakuwa wa kwanza kumkunja samaki aliyekakawana kwa umri na magamba sugu. Hata wahenga waliotunga ile methali ya samaki mkunje angali mbichi itabidi wafufuke ili kuja kushuhudia muujiza wa milenia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuombe hilo libaba litokee ASAP lilete ushuhuda hapa
 
Jizazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Eti huyu ni wetu tena kwa kujiamini kabisa. Utalipa haya manyanyaso ya kisaikolojia unayotupondaga nayo Wakoromije siku moja. Maki mai wedisi !!!
[emoji23][emoji23][emoji23]tena nasikirini shoti kabisa hii comment niweke kwenye fremu kule mwakaleli ili hiyo siku ikifika na nisipolipa nikuonyeshe.

Sasa hebu muone kama huyu [emoji125] [emoji125] [emoji125]
4c199e378a23c50f7d936f6ac0d2593b.jpg
 
Back
Top Bottom