Mimi nishazoea siku hizi,ila nitarudi kulala sio mda sana.Jua likichomoza bila kulala kabisa itakua sio vizuri
Hahah aya poa tutakutana baadaeMimi nishazoea siku hizi,ila nitarudi kulala sio mda sana.
Na,wewe ukalale maana si kwa kukesha huku lol!
Ulale salamaNgoja mimi nilale sasa
[emoji106][emoji106][emoji106]Hahah aya poa tutakutana baadae
AsanteUlale salama
Tukeshe tu. Masaa mawili ndo unalala nini sasa?04:07
Andaeitini kalale ukue [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Mimi nishazoea siku hizi,ila nitarudi kulala sio mda sana.
Na,wewe ukalale maana si kwa kukesha huku lol!
Naogopa giza pekeyangu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Andaeitini kalale ukue [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Nije?Naogopa giza pekeyangu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]