Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kicheko cha usiku huu wa manane bila shaka kina uzito zaidi. Ningekuwa hapo karibu bila shaka nisingekosa "kibakhshishi" hata kama ni kaskrinishoti [emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️

[emoji654]️[emoji654]️ Ukilikamia kulinyoosha hilo lishamba hamtadumu. Limeshindikana kunyooshwa na mamake huko we ndiyo utaliweza wakati ushamba wenyewe si ajabu ushakuwa sugu?
Na kale ka mlio ka kwachaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewee!!

Eti ushamba sugu,hakuna hiyo atanyooka tu[emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo unapoomba omba na kipengele hicho aweze kunyoosheka
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Hata kumbrozone mtu malipo yake ni hapa hapa tu...
Kweli malipo ni hapahapa duniani.
Hivi unawezaje kum brozone mtu unayemtamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi siwezi aiseeh!sitaki hizo mambo za kifa na tai shingoni[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom