ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Duu sio kwa njaa hii
Hapa sasa unataka kusema nini. Eti wanapiga sana talaliala ila vitendo F???
DuuuIkifika mida hii huwa unakata.Haya maisha ni tafrani kwa kweli.
Ni afadhali uniq kaamua kukimbilia kusoma shule za watotoView attachment 744940
Sisemi chochote natafuta like tuHapa sasa unataka kusema nini. Eti wanapiga sana talaliala ila vitendo F???
Anaonesha bado kijana sana eti eehDuuu
Haha kamata hii long timeSisemi chochote natafuta like tu
SanaaaAnaonesha bado kijana sana eti eeh
Umri huo unafaa sana kwa kujifunza maana kichwa bado kinakuwa hakijawa na mambo mengi.Sanaaa