Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Numbisa umeanza kukua.
Aaa wapi. Kamekopi na kupesti tu kutoka mahali. Si ajabu hata hakakumbuki kama kamebandika haya maneno mazito yenye falsafa nzito kuhusu maisha na mapito yetu hapa duniani. Kama unabisha ngoja kaamke halafu ukaulizie hii ishu bila kukarejesha kwenye hii post. Hakatakumbuka kitu [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍
 
Mungu anasaidia Mkuu! Vipi uko Sayari gani, hii hii ninayoijua mimi? Kwani saa hizi ni zile saa za wanga kweli kweli! [emoji23][emoji23]
Ikifika mida hii huwa unakata.Haya maisha ni tafrani kwa kweli.
Ni afadhali uniq kaamua kukimbilia kusoma shule za watoto
IMG_20180319_102237.jpg
 
Aaa wapi. Kamekopi na kupesti tu kutoka mahali. Si ajabu hata hakakumbuki kama kamebandika haya maneno mazito yenye falsafa nzito kuhusu maisha na mapito yetu hapa duniani. Kama unabisha ngoja kaamke halafu ukaulizie hii ishu bila kukarejesha kwenye hii post. Hakatakumbuka kitu [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji169]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itakuwa ajabu sana. Kwa mapito aliyo pitia,hayo maneno ilitakiwa awe ameyatengenezea fremu kabisa
 
[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom