Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utagundua kuwa mapambano hayapatikani katika njia, bali ni njia. Na ni thamani yake. Hivyo kama wewe unakwenda kujaribu,nenda njia yote. Hakuna hisia bora katika dunia ... hakuna hisia bora kuliko kujua nini maana ya kuwa hai.
 
MITAZAMO HASI YA WENGINE SIO TATIZO LAKO



Kuwa na mtazamo chanya wakati mazingira yametawaliwa na mitazamo hasi. Tabasamu wakati wengine wanajaribu kukurudisha chini. Si jambo rahisi kudumisha shauku yako na kuzingatia unakoelekea. Wakati watu wengine wanakutenda vibaya, endelea kuwa wewe. Milele usiruhusu tabia chungu za mtu mwingine zilete mabadiliko kwako.

Zaidi ya yote, milele usikubali kubadilika ili kumvutia mtu ambaye anasema wewe hauna uwezo. Badilika sababu itakufanya mtu bora na itaenda kubadilisha kitu katika maisha ya mbeleni. Watu wataendelea kuzungumza bila kujali nini unafanya, hata iwe unafanya vizuri kiasi gani. Hivyo kuwa na wasiwasi kuhusu mwenyewe kabla ya kuwa na wasiwasi kuhusu nini wengine wana kufikiria. Kama unaamini kwa dhati katika kitu, wala hupaswi kuwa na hofu ya kupambana kwa ajili yake. Nguvu kubwa inatokana na kushinda kitu ambacho wengine walifikiria hakiwezekani.
 
MAKOVU YAKO NDIO NGUVU YAKO



Usije kuona aibu hata siku moja kutokana na makovu ambayo maisha yamekupa. Kovu ina maana uliwahi kuumizwa na tatizo limekwisha na jeraha limefunga. Ina maana wewe alishinda maumivu, umejifunza somo, umekuwa na nguvu, na umesonga mbele. Kovu ni alama ya ushindi ya kujivunia.

Hata Mkombozi wetu Yesu kule mbinguni tutamtambua kwa makovu yake. [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
GuDume naye anataka kuji-off kisa nini? Sijasoma kwa kina andiko lake ila mara ya mwisho nadhani alisema kafiwa na babake mzazi huko Zanzibar. Leo kaibuka anataka kufa....[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ana lugha ngumu analalamikia yeye anatumia akili kuchangamua mambo ila wengine hawatumii akili
 
Saa 9 na nusu usiku. Numbisa rudi ukalale. Pengine uliamka kwenda msalani ukaona ule likes kidogo. Weka simu chini, vuta blanketi, fikiria hata vituko vya Shimba follower wako na ujaribu kulala. Kesho utashindwa kufuatilia misa kanisani. Ndoto njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ana lugha ngumu analalamikia yeye anatumia akili kuchangamua mambo ila wengine hawatumii akili
Jf hapa? Anapenda MMU halafu anategemea watu watumie akili nyingi kuchambua mada zake zile za fix. Si aende Jamii Intelligence kwa akina Habib Anga au kule jukwaa la dini kwa wabobezi akina Kiranga akapambane? Hata kwenye mapovu siasani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
431804519_210263.jpg
 
Saa 9 na nusu usiku. Numbisa rudi ukalale. Pengine uliamka kwenda kukojoa ukaona ule likes kidogo. Weka simu chini, vuta blanketi, fikiria hata vituko vya Shimba follower wako na ujaribu kulala. Kesho utashindwa kufuatilia misa kanisani. Ndoto njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Ameniota namfukuza ndio maana usingizi ukakata ghafla! Nadhani amerudi tena kwa bed! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
 
Ameniota namfukuza ndio maana usingizi ukakata ghafla! Nadhani amerudi tena kwa bed! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
Kufukuzwa na kijana mgumu lakini hakuna madhara yo yote. Woga wake tu...Angeota anafukuzwa na mzee wa saksafoni nene zito refu kutoka Mwakaleli ingekuwaje? Tumtakie ndoto njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom