Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

049d1e1d-be24-45b0-9582-e98ce9e8e176.jpg
 
MAKOVU YAKO NDIO NGUVU YAKO



Usije kuona aibu hata siku moja kutokana na makovu ambayo maisha yamekupa. Kovu ina maana uliwahi kuumizwa na tatizo limekwisha na jeraha limefunga. Ina maana wewe alishinda maumivu, umejifunza somo, umekuwa na nguvu, na umesonga mbele. Kovu ni alama ya ushindi ya kujivunia.
Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Numbisa umeanza kukua.
 
Kufukuzwa na kijana mgumu lakini hakuna madhara yo yote. Woga wake tu...Angeota anafukuzwa na mzee wa saksafoni nene zito refu kutoka Mwakaleli ingekuwaje? Tumtakie ndoto njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Vya ukweli ukweli kanumbisa ni kazuri sana, sema tu kametawaliwa na usukuma kuringa ringa.Siku nikika kamataaa... hiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom