Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Amen, mpendwa, nitafanya hivyo, roho wa Mungu akapate kukuongoza..Jitahidi pia unyenyuke hapo ulipo ujiandae ukamshukuru na kulitukuza jina lake...Siku 1 kati ya siku 7 za wiki.Amen. Usisahau kutuombea na sisi watenda dhambi. Tumshukuru Mungu kwa neema na upendo wake usiokoma [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]