myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
06:15
Na huko intelligence yupo anaandika mambo ya maana tu ila sasa akija MMU ndo mwandika pumba hodarJf hapa? Anapenda MMU halafu anategemea watu watumie akili nyingi kuchambua mada zake zile za fix. Si aende Jamii Intelligence kwa akina Habib Anga au kule jukwaa la dini kwa wabobezi akina Kiranga akapambane? Hata kwenye mapovu siasani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamn nshapata mfukuzaji awesomeSaa 9 na nusu usiku. Numbisa rudi ukalale. Pengine uliamka kwenda msalani ukaona ule likes kidogo. Weka simu chini, vuta blanketi, fikiria hata vituko vya Shimba follower wako na ujaribu kulala. Kesho utashindwa kufuatilia misa kanisani. Ndoto njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ameniota namfukuza ndio maana usingizi ukakata ghafla! Nadhani amerudi tena kwa bed! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
Kufukuzwa na kijana mgumu lakini hakuna madhara yo yote. Woga wake tu...Angeota anafukuzwa na mzee wa saksafoni nene zito refu kutoka Mwakaleli ingekuwaje? Tumtakie ndoto njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nafahamu, sasa sijui kalikuwa kanakimbia nini haka ka Numbisa! Na kalale unono!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] museeeee museeee in kenyan voiceVya ukweli ukweli kanumbisa ni kazuri sana, sema tu kametawaliwa na usukuma kuringa ringa.Siku nikika kamataaa... hiiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiiAaa wapi. Kamekopi na kupesti tu kutoka mahali. Si ajabu hata hakakumbuki kama kamebandika haya maneno mazito yenye falsafa nzito kuhusu maisha na mapito yetu hapa duniani. Kama unabisha ngoja kaamke halafu ukaulizie hii ishu bila kukarejesha kwenye hii post. Hakatakumbuka kitu [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nandy ana shidaAngalau tu-Nandy twake tunaonekana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaniiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeah! Kama kuringa kweli kanaringa [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Mwone,haya zamu yako ukalaleUshaamka sasa! [emoji1]