Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kamekwepa swali kijanja...Ya samaki sato fresh kabisa toka ziwani
Kamekwepa swali kijanja...Ya samaki sato fresh kabisa toka ziwani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeAaaaa wapi. Wengine mbona ilibidi tukubali picha ya vidole vya kwenye samaki. Hapa hakuna cha kujitetea hapa...
Kwani vidole vyako vinashida gan mchina?Nimeogopa,
Mnachunguza mpaka vidole.
Carba naomba nikuoneshe za kwangu niahidi kama hautopiga keleleUnaogopa nini mchina??
Mliipata? Mbona mi hamkunitag?Nikikumbuka picha ya andjul tulivyohangaika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwache atume picha bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi simuelewi,kwanini ufiche vidole?Watasema kuna kitu unazuia wasikione. Na kwa vile umesema huna nguvu za kiume sijui kitakuwa kitu gani sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah!! Tatizo hizo kucha zenyewe zinatia ukakasi ata kuzikubali mkuu ndio mana natumia nguvu kubwa kuzipingaHutajinasua hata ufanyeje mkuu. Wewe kubali tu yaishe...Au muite shemeji aje akutetee. Hawa wakikukamata na kitu huwa hawaachiliagi mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Nangoja picha ya kujisafisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo kweli ndio nimeingia cha kike mkuu, ila naamini nafasi bado ninayo ya kudhihirishia umma kua kucha sio zangu
Kweli sina nguvu za kiume,Watasema kuna kitu unazuia wasikione. Na kwa vile umesema huna nguvu za kiume sijui kitakuwa kitu gani sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nimsubiri numbyAisee hata sijui iko wapi. Nikienda nilikoitoa naweza kuipata. Ila inawezekana Numbisa anayo aisee...
[emoji23][emoji23][emoji23]Soon itabidi nifanye hivyo tu