Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23] sio zangu bwana..

Tena nitumie nafasi hii kujisafisha kwa family members wenzagu kua wasizingatie kauli yako hiyo ni yaupotoshaji kabisa, huo mkono sio wangu
Hata mimi niliweka picha ya samaki hapa basi nikabebeshwa umiliki wa mikono. Hata ujitetee vipi haitasaidia. We kakate tu hizo kucha basi hakuna jingine
 
Back
Top Bottom