Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Huendi mbinguni tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si kwa mijiguu hiyo khaa
Huendi mbinguni tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si kwa mijiguu hiyo khaa
Kucha ka jembe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Numbisa embu niache kwanza aisee sitaki kucheka sasa hivi...
Kucha gani hilo sasa?
Sasa mimi najuaje jamani?[emoji23][emoji23]Ina maana nguvu za kiume ni mhimu sana Carba?
Ngoja nikautafite huo mkono[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23] sio zangu bwana..
Tena nitumie nafasi hii kujisafisha kwa family members wenzagu kua wasizingatie kauli yako hiyo ni yaupotoshaji kabisa, huo mkono sio wangu
[emoji23][emoji23][emoji23]si kwa mijiguu ile jamaniHuendi mbinguni tayari
Nmeamka saa nne sena nilikua naweka sawa mambo mengine kabla sijakuja huku... vp ulirudi kulala?Ndo umeamka nini?
Davet kakate kucha jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio urefu wa magorofaView attachment 757411
Mjini mipangoView attachment 757410
Hahah[emoji23][emoji23]Kucha ka jembe[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilirudi kulala na usingizi nikakosaNmeamka saa nne sena nilikua naweka sawa mambo mengine kabla sijakuja huku... vp ulirudi kulala?
Hahah!! Miguu ni mikubwa sana jamani itakua wamemuedit[emoji23][emoji23][emoji23]si kwa mijiguu ile jamani
Yaani imebidi niangalie ile picha kwa umakini sana[emoji23][emoji23][emoji23]si kwa mikucha ile ka fyekeoHahah[emoji23][emoji23]
Aisee leo kazi ipo, kucha kama jembe kweli ila usimzingatie Numbisa
[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikautafite huo mkono[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]
Miguu kama ya kuchonga[emoji23][emoji23]Hahah!! Miguu ni mikubwa sana jamani itakua wamemuedit
Subiri Wanadodoma kindakindaki Mzee wa Liver na Demiss wakusikie [emoji16][emoji16][emoji16]Dodoma ni "Jiji Kijijini"
Mbona ..mbona..ka..kkkkama kukukucha Zak..ko?[emoji23][emoji23][emoji23] sio zangu bwana..
Tena nitumie nafasi hii kujisafisha kwa family members wenzagu kua wasizingatie kauli yako hiyo ni yaupotoshaji kabisa, huo mkono sio wangu
Mbona kama si mhimu au unasemaje wewe?Sasa mimi najuaje jamani?[emoji23][emoji23]
Kwani hazina umuhimu bhana
Aisee pole sana, ila hapo badae badae najua utalala sanaNilirudi kulala na usingizi nikakosa
Kucha madhubuti hizoDavet kakate kucha jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekucha?Subiri Wanadodoma kindakindaki Mzee wa Liver na Demiss wakusikie [emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli hazina umuhimuMbona kama si mhimu au unasemaje wewe?