Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mzazi huyo alisema kutokana na mshtuko, babu hakuuliza mjukuu wake anaumwa, hivyo alipiga simu kwa baba wa mtoto ambaye naye alimpigia yeye.
“Baba yake alinipigia akaniambia mtoto anaumwa hivyo nifanye haraka niende shule kujua nini kinaendelea,” alisema.
“Baba yake alinipigia akaniambia mtoto anaumwa hivyo nifanye haraka niende shule kujua nini kinaendelea,” alisema.