Mzazi huyo alisema alipompigia mtu huyo alisisitiza kuwa ni mwalimu na alipomtaka ampe mtoto azungumze naye alimweleza ameanguka na ana homa kali hivyo hawezi kuzungumza.
“Akaagiza nimtumie fedha ili afanye utaratibu wa kumpeleka hospitali ya mkoa,” alisema mzazi huyo.

Watu wawili wanahofiwa kufa maji na wengine 14 wakinusurika baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kutoka Sengerema kwenda jijini Mwanza kuzama ndani ya Ziwa Victoria.
Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Emmanuel Kipole amesema wametuma kikosi cha askari polisi Kijiji cha Ilunda ilikotokea ajali hiyo.
Amesema ajali imetokea Aprili 26, 2018 baada ya boti hiyo iliyokuwa na shehena ya matenga ya nyanya na magunia ya viazi kupigwa na dhoruba.