Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huu ni moja ya mitihani migumu ambao wengi wanakufa hapa duniani bila kuufanya au hata kufaulu.
Vipi huko kwenu Kunduchi umeme upo?Niko poa best
Safi sana
Sigmund Freud amelizungumzia hili vizuri sana!
Ni kweli maana Elitria ukiwa na mwanamke mmoja unashitakiwa.Tuwaoe ili tuwaokoe na kuzaa bila kuwa na mume wa ndoa,halafu watupeleke kwa madaladala kutushitaki hatutoi matumizi ya matunzo ya watoto
Nikifanya hivi ndiyo mtakoma na kujifunza[emoji1] [emoji1] [emoji1] usitufanyie hivyo bwana malcom
Huku kibondo umeme upo bestVipi huko kwenu Kunduchi umeme upo?
Mie nitalipia chai kabla na chakula baada ya kumaliza kuandamana kwa kutetea jambo hilo mhimu sana.Ntamsaidia kufanya Logistic zote.....
Haya maandamano hadi Mzee wa Upako Lusekelo atakuwepo.....!Mimi nitakuwa mstari wa mbele kabisa na mabango ya kila aina [emoji16][emoji16][emoji16]
Hichi kiunzi unavyojua kukiruka rafikiHuku kibondo umeme upo best
Naaam naaaam!Mie nitalipia chai kabla na chakula baada ya kumaliza kuandamana kwa kutetea jambo hilo mhimu sana.
Akitokea mwanaume akayapinga haya nitamshangaa...Haya maandamano hadi Mzee wa Upako Lusekelo atakuwepo.....!