Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Nipo kakaangu, nilikumiss sana pande hizi..Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah,
My favorite sister upo wewe aiseee ???
Happy to see you.....!
Nipo kakaangu, nilikumiss sana pande hizi..Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah,
My favorite sister upo wewe aiseee ???
Happy to see you.....!
Tunaandamana halafu wewe unaguna?Mmmmmhh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo Davet ataomba pooLeo kazi ipo
Nitaleta majibu hapaHatuondoki mpaka utoe majibu ya kweli
Hahah!! Mkuu leo nipo radhi mumuote tu aje kuthibitisha..Shunie aje athibitishe hapa kama mkono huu ni wenyewe....
Mkuu umenifurahisha sana [emoji16][emoji16][emoji16]
sawasawa..Nitaleta majibu hapa
Chukua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Whatsapp yako nami naiomba [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Naguna huko kutaka mmiliki mwanamke zaidi ya mmoja.Tunaandamana halafu wewe unaguna?
duh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 758016
Nilikuwa namsaidia Da Mange kuandaaa maandamano.....!Nipo kakaangu, nilikumiss sana pande hizi..
Weka na vyako jirani ili nilete majibu mengi[emoji38][emoji38]sawasawa..
Nilienda kuosha vyombo rafiki.Unaenda wapi sasa?
Wanawake wengi wanaume tuko wachache. Pendekeza suluhisho jingine kama unalo ili kila mwanamke apate mume. Hatutaki singo mazasi tena...Naguna huko kutaka mmiliki mwanamke zaidi ya mmoja.
[emoji23][emoji23] true definition of menWhatsapp yako nami naiomba [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
[emoji15] [emoji15]Acheni uchoyo
Majukumu gani?Itawapunguzia majukumu mengi