Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mniache nimsaidie dada yangu kuwalea wakina Kenzo..!
😀😀😀😀😀😀😀
Aya umemaliza sasa?Nilienda kuosha vyombo rafiki.
Ndani ya nyumba kuna majukumu mengi, imebidi tufanye huruma kwa kuwaongezea watu wa kusaidizana nanyi.Majukumu gani?
Mmmh! Afadhari nikae mwenyewe..lakini sio kuwa mitala.Wanawake wengi wanaume tuko wachache. Pendekeza suluhisho jingine kama unalo ili kila mwanamke apate mume. Hatutaki singo mazasi tena...
Kwahiyo nyanya wewe wajua kucha za davet zilivyo??[emoji23][emoji23][emoji23]
Ledada anajuaje kucha zako?[emoji23][emoji23]
Buda kubali tu yaishe
Havitambuliki na nini?
Hata sizijui nyanya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti anashtaki kwako,khaa
Hebu yataje hayo majukumu ambayo mke mmoja hayawezi hadi aletewe msaidiziNdani ya nyumba kuna majukumu mengi, imebidi tufanye huruma kwa kuwaongezea watu wa kusaidizana nanyi.
na kupika kabisaNilienda kuosha vyombo rafiki.
Mlitakiwa kutoa shukurani kwetu kwa uungwana wa kuwaongezea wasaidizi.Majukumu gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], haya bwana,, kwema lakini?Nilikuwa namsaidia Da Mange kuandaaa maandamano.....!
NdiyooAya umemaliza sasa?