Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa na deni ya mluhya my friend ata usi teseke eti uta lipa aje, pika ugali 2kg na kuku moja.... muite akujie deni yake,food ikiwa kwa meza.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] trust me atasahau alikujia nini,kwanza harufu ya kuku udelete memory ya mluhya kapsa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahaaa.....
 
Utakako enda tutaenda wote,siwezi baki pekeyangu mimi[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nalog off JF kwa mwezi mzima. Aliye na shida na mimi aje Koromije atanikuta kwenye mashamba yangu ya nyanya na dengu [emoji23][emoji23][emoji23]

Jirani, Mwakaleli, bro, Kasmart na kaYego wapo watakuangalia vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…