Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Maybe
SavageOooooh jamaniiiii [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 758051
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo yaani busara zimenijia ghafla...Brozoned forevaaaaa !!!
Cruel.....inhumane, barbaric...Savage
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Big bratheeeee
Nimekwamvia hivi"unakoenda tutaenda wote,siwezi baki hapa pekeyangu"....Nalog off JF kwa mwezi mzima. Aliye na shida na mimi aje Koromije atanikuta kwenye mashamba yangu ya nyanya na dengu [emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani, Mwakaleli, bro, Kasmart na kaYego wapo watakuangalia vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jana alikuwepo kwa muda halafu akadisapia tena. Nitamuomba aje akuangalie kwa ukaribuNimekwamvia hivi"unakoenda tutaenda wote,siwezi baki hapa pekeyangu"....
Kwani mimi sijawaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwakaleli kanitelekeza hapa karibia mwezi huu sina hamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani sijui aliyeambiwa hivyo alijisikiaje.Cruel.....inhumane, barbaric...
Mfikishie hizi salamu,nimemnunia[emoji19][emoji19]Jana alikuwepo kwa muda halafu akadisapia tena. Nitamuomba aje akuangalie kwa ukaribu
Kwema bro uko poa?Shirooo kwema? Mbona leo umenichunia hata kasalamu hakuna? Nimekorofisha mahali au kukosekana kwa Kasmart wako hapa kunakuchanganya?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sipati picha[emoji23][emoji23]
Huna bashasha kabisa yaani. Kama vile siyo wewe na gaiiiiii, waiiiiiiiii, jomoniiiii. Kama Kasmart ndo anakupoozesha hivi aisee mwambie siyo poa bana. Changamka!Kwema bro uko poa?
Nilikuwa nakuvutia kasi kaka[emoji23] [emoji23] [emoji23]