Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Akija maneno mawili matatu tu utakuwa ushalainika. Usicheze na Mwakaleli hata siku moja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mfikishie hizi salamu,nimemnunia[emoji19][emoji19]
She's fineeee!
Hahahahahahaha mbona nimechangamka broHuna bashasha kabisa yaani. Kama vile siyo wewe na gaiiiiii, waiiiiiiiii, jomoniiiii. Kama Kasmart ndo anakupoozesha hivi aisee mwambie siyo poa bana. Changamka!
Umemmiss sana basi tu unajikaza
Kuna mtu anatumia hii avatar
Huyu ni jirani original,aje abishe
Niko poa,sijui wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vipj lakini uko vizuri?
Subiria kamsemo kamoja matata sana [emoji16][emoji16][emoji16]Huyu ni jirani original,aje abishe
The return of jakii0205 [emoji443][emoji443][emoji443][emoji443]
View attachment 758065
Mbali na mwenyewe Mwakaleli orijino?Kuna mtu anatumia hii avatar
Yaani mnuno niliomnunia si wa nchi hiiAkija maneno mawili matatu tu utakuwa ushalainika. Usicheze na Mwakaleli hata siku moja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nakutania tu kama kawaida...Hahahahahahaha mbona nimechangamka bro
Kasmart hata hausikii[emoji38] [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23]au anaweza vunga vilevileSubiria kamsemo kamoja matata sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio,nilimuona celeb kuleMbali na mwenyewe Mwakaleli orijino?