myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Haki na usawa
Za huku nitokako itabidi anisaidie kujibu jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiiiiiiiii
Karibu tena,haya za utokako?
Usijari kabisa ndugu mimi mwenyewe matani nayaelewa sana siwezi kukwazika kizembe hivyo...Bora bhana,nilihisi umekwazika aiseh!hadi nikaanza kujihisi vibaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata alichokuwa anaandika kilikuwa hakieleweki[emoji23][emoji23][emoji23]
Mchina alikiona cha mtema kuni aiseh!
Alirudi mpole hakuna mfanowe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama kucha[emoji23][emoji23] kweli aisee inaezekama kuna mengi aliyaficha
[emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] na bado anakumbuka
Wakati jirani anasaidia kujibu wewe andaa talaka yangu,nimechoka kutorokwa mimi bila taarifa.Za huku nitokako itabidi anisaidie kujibu jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shukran[emoji120]Usijari kabisa ndugu mimi mwenyewe matani nayaelewa sana siwezi kukwazika kizembe hivyo...
[emoji2][emoji2]
Kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama kucha
Huwa manajifikilia nn kumuweka mtu ufriendzone[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]