Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati jirani anasaidia kujibu wewe andaa talaka yangu,nimechoka kutorokwa mimi bila taarifa.

Nafurahi kukuona naiman kila kitu kiko sawa[emoji120][emoji120]
Acha kudai talaka weweee... Ng'ang'ana ule vyangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Yaani ni mwendo wa kutembea huku nikinyatanyata... Mungu ni fundi
 
Hela ya pension naitaka shida ni kutorokwa na kurudi bila taarifa.
Kama hutaki kutoa talaka kubali nikuongezee msaidizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nashukuru na kufurah kusikia hivyo[emoji120][emoji120]
 
Aongezwe msaidizi?? Kwani sina uwezo wa kuinua na kuinamisha kwa mfululizo kichwa changu ?
Unanitakia nini wee binti wa kipwani? Ninawezana nayo ujue, achana na udogo wa funguo ya semitrela... Laenda umbali mrefu na kuchemsha juu kama halikupumzishwa
 
Back
Top Bottom