Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nasikia washabiki wa Arsenal wana mtaka Wenga asiondoke
 
Kiungo wa kati wa Brazil Andreas Pereira ataondoka Manchester United mwisho wa msimu huu iwapo mchezaji huyo mwenye urmi wa miaka hatapewa hakikisho kuhusu kushiriki katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo.(Telegraph)
 
Mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich amewataka wafanyi kazi kupigania mipango ya uhamisho licha ya hatma ya kocha Antonio kutojulikana , ikiwemo uhamisho wa kiungo wa kati wa Nice na Ivory Coast Jean-Michael Seri kwa dau la £30m. (Mirror)
 
Mkufunzi wa zamani wa Barcelona Luis Enrique, anayepigiwa upatu kumrithi mkufunzi wa Arsenal anayeondoka Arsene Wenger katika klabu ya Arsenal, anataka kitita cha £200m kuimarisha kikosi cha The Gunners msimu ujao. (Sun)
 
Mkufunzi asiyetaka masikhara kama vile kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone, anahitaji kumrithi Wenger katika uwanja wa Emirates ,kulingana na kiungo wa kati wa Ireland Andy Townsend. (BBC Radio 5 live)
 
[emoji243] [emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji230] umesahau hao ng'ombe wa vichwa vikubwa shemeji alikuwa hawataki? Shemeji izi veri selekitivu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kapare haka hata hawa wenye vichwa vikubwa kama madume ya siafu askari hakana. Kalitwambia eti tukachukue mbuzi na bata tukagoma hatujakaa sawa Numbisa ndiyo akajitokeza na udhamini wa Wenga.
 
Manchester United wameishinda Liverpool na Chelsea katika kumsajili kiungo wa kati Martin Svidersky, 15. Raia huyo wa Slovakia, ambaye amekuwa akicheza soka ya vijana alikuwa akivutia hamu kutoka Manchester City na West Ham.(Mail)
 
Antoine Griezmann aliiadhibu safu ya ulinzi ya Arsenal katika dakika za lala salama huku timu ya Atletico iliokuwa na wachezaji 10 kupata sare katika nusu fainali ya kombe la bara Yuropa iliofanyika katika uwanja wa Emirates.
 
Wageni hao wa Uhispania walilazimika kurudi nyuma na kulinda lango lao katika kipindi kirefu cha mchezo baada ya beki Sime Vrsajko kupewa kadi nyekundu kwa kucheza visivyo katika dakika 10 za kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…