Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mila...Na likitokea la kutokea kwa dadetu au hako kapwa basi watadili na Aseno na wenga wao au watayamaliza huko huko Upareni. Hata kama mahari ilisamehewa ilibidi huyu dogo ajiongeze na kutoa angalau blanketi la mama mkwe, bia za sisi shemeji zake na kutimiza mambo mengine ya kimila. Sasa yeye kamwachia kila kitu Wenga. Wenga mai futi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha huku ata cheza na Salaana Mane aka pesa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shimba na yunikiiiiiiiiiiii
Mwakani mwezi wa 12 mtoto mwingine
 
Kuna unalotafuta. Wale ng'ombe mliokuja na wadogo zako kuja kuwachukua walikuwa wa nini??
[emoji243] [emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji230] umesahau hao ng'ombe wa vichwa vikubwa shemeji alikuwa hawataki? Shemeji izi veri selekitivu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bila kutimiza masharti ya kimila utateseka sana shemeji. Na hapo bado. Na mwisho wa siku utakuja tu kututafuta. Mark my words. Utakuja kupata mtoto hayuko sawa na utatembea kila mahali ila kila unakokwenda utaambiwa umlete kwa bibi yake mzaa mama akawekewe mikono. Na ukija na mikono mitupu tutakutoa mkuku. Tafuta ng'ombe kadhaa uje urekebishe mambo. Acha ubahili na hujachelewa.

Hata Wenga wako Aseno kaondoka. Jiongeze
Kumbuka atakuwa ni mpwa wako tuu
 
Back
Top Bottom