Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mambo ni moto mtt mayai
IMG-20180427-WA0153.jpg
 
Hukuniambia. Ni kweli mmepata katoto? Siwezi kuja kumshika. Hukuwahi kutoa mahari. Huyo mtoto ni wenu huko Wapare na sisi hatuhusiki naye[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Kuna unalotafuta. Wale ng'ombe mliokuja na wadogo zako kuja kuwachukua walikuwa wa nini??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wivu u
Mila...Na likitokea la kutokea kwa dadetu au hako kapwa basi watadili na Aseno na wenga wao au watayamaliza huko huko Upareni. Hata kama mahari ilisamehewa ilibidi huyu dogo ajiongeze na kutoa angalau blanketi la mama mkwe, bia za sisi shemeji zake na kutimiza mambo mengine ya kimila. Sasa yeye kamwachia kila kitu Wenga. Wenga mai futi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hukuniambia. Ni kweli mmepata katoto? Siwezi kuja kumshika. Hukuwahi kutoa mahari. Huyo mtoto ni wenu huko Wapare na sisi hatuhusiki naye[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shimba na yunikiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom